mtoto(b) mtoto anayeweza kutoa maoni apewe haki ya kutoa maoni hayo kwa uhuru kuhusu mambo yote yanayomuathiri na maoni hayo yapewe uzito stahiki kwa kuzingatia umri wake naMara nyingi wazazi wanapotengana huwa tunashuhudia mabishano ya nani anatakiwa kukaa na mtoto. Ni mama au baba. Kwa suala hilihili wapo watu wako mahakamani